Nafasi Za Kazi Key Account Manager (KAM) – Skynettz Multiple Locations September 2026
Skynettz
Job description
Key Account Manager (KAM) at Airtel
Job Vacancy
Position: Key Account Manager (KAM)
Job Locations
The position is available in the following locations
- Arusha – Tengeru, Muriet
- Korogwe – Soni
- Manyara – Katesh, Haydom
- Ruvuma – Tunduru Rural
- Geita – Katoro
Majukumu Makuu
- Kutafuta na kuleta wateja wapya wa Lipa za Airtel.
- Kufanya re-activation ya wateja wa zamani wa Lipa za Airtel.
- Kuzifuatilia Lipa ambazo hazifanyi miamala ili ziwe active tena.
- Kujenga na kudumisha mahusiano mazuri na wafanyabiashara/wateja.
- Kufuatilia matumizi na shughuli za Lipa ili kuongeza kiwango cha miamala.
- Kufanya ziara za kibiashara na kutafuta fursa mpya za kazi.
- Kuandaa na kuwasilisha taarifa za kazi na performance kwa uongozi.
- Kufanya kazi kwa kuzingatia malengo (targets) yaliyowekwa.
Sifa za Mwombaji
- Awe na elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four).
- Uzoefu katika Sales, Customer Acquisition, Merchant Acquisition au Mobile Money utakuwa faida.
- Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
- Awe tayari kufanya kazi za field na kufikia targets.
- Awe mwaminifu, mwenye nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
- Awe tayari kufanya kazi katika eneo aliloomba.
Application Details
Email: hr@skynettz.co.tz
Subject: APPLICATION FOR KEY ACCOUNT MANAGER - [LOCATION]
Mfano:
APPLICATION FOR KEY ACCOUNT MANAGER - ARUSHA TENGERU
Application Deadline
29 September 2026