Nafasi ya kazi: Key Account Manager – Ihalula Company Limited, Mpanda , Katavi September 2026
Ihalula Company Limited
Job description
NAFASI YA KAZI
Ihalula Traders
Stronger Connections, Brighter Futures
KEY ACCOUNT MANAGER (KAM)
Eneo la Kazi: Mpanda Urban
Deadline
29 September, 2026
MAJUKUMU MAKUU
- Kutafuta na kuleta wateja wapya wa Lipa za Airtel.
- Kufanya re-activation ya wateja wa zamani wa Lipa za Airtel ambao hawafanyi miamala.
- Kujenga na kudumisha mahusiano mazuri na wafanyabiashara/wateja.
- Kufuatilia matumizi na shughuli za wateja wa Lipa za Airtel ili kuongeza miamala.
- Kufanya ziara za kibiashara na kutafuta fursa mpya za wateja.
- Kuandaa na kuwasilisha taarifa za kazi na performance kwa uongozi.
- Kufanya kazi kwa kuzingatia malengo (targets) ya kampuni.
SIFA
- Elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four).
- Uzoefu katika sales, customer acquisition, merchant acquisition au mobile money (faida).
- Uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
- Tayari kufanya kazi kwa malengo na kufanya field work.
- Mwaminifu, mwenye nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
- Email: recruitments@ihalulatraders.co.tz
- Subject: APPLICATION FOR KEY ACCOUNT MANAGER – MPANDA