Mfanyakazi wa Ofisini (Office Assistant) at Anny Trading Company, Dar es Salaam – October 2026.
Anny Trading Company
Job description
Office Attendant at Anny Trading Company, Dar es Salaam – September 2025.
NAFASI YA KAZI: MFANYAKAZI WA OFISINI (OFFICE ASSISTANT) – ANNY TRADING COMPANY
Jina la Mwajiri: Anny Trading Company Nafasi ya Kazi: Mfanyakazi wa Ofisini (Office Assistant)Eneo la Kazi: Mwenge, Dar es Salaam Sekta: Uwakala wa Simu, Benki na Huduma za Stationery Aina ya Mkataba: Ajira ya Muda Full-time Mshahara: TZS 250,000/= kwa mwezi Mwisho wa Kutuma Maombi: 30 Oktoba 2026
Mchanganuo wa Fursa
Kampuni ya Anny Trading Company, inayojishughulisha na kutoa huduma za uwakala wa simu, miamala ya benki pamoja na vifaa vya stationery, inatangaza nafasi ya kazi ya Mfanyakazi wa Ofisini. Kampuni inamtafuta mwombaji mwenye bidii, uaminifu na uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja.Vigezo na Sifa za Mwombaji
- Elimu: Awe amehitimu kidato cha sita (Form Six) na awe na Cheti, Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree).
- Hesabu: Awe na uelewa mzuri na makini katika hesabu/miamala.
- Huduma kwa Wateja: Awe na uelewa na uzoefu wa huduma bora kwa wateja (Customer Care).
- Lugha: Awe anajua kuzungumza na kuandika vizuri lugha za Kiswahili na Kiingereza.
- Tabia: Awe msafi, mwenye nidhamu ya kazi, uwajibikaji na uaminifu mkubwa.
- Upendeleo: Kipaumbele kitapewa mwombaji wa kike.
Majukumu ya Kazi
- Kuhudumia na kuwakaribisha wateja kwa weledi na ukarimu.
- Kusaidia na kusimamia shughuli za uwakala wa simu na mauzo ya bidhaa za stationery.
- Kufanya miamala na shughuli za benki kwa niaba ya kampuni.
- Kutunza usafi, mpangilio na mazingira ya ofisi kwa ujumla.
- Kuandaa na kutunza kumbukumbu ndogo ndogo za kifedha na mauzo ya kila siku.
- Kutekeleza majukumu mengine ya kila siku kulingana na maelekezo ya mwajiri.
Maslahi na Masharti ya Ajira
- Mshahara: TZS 250,000/= kwa mwezi.
- Mwisho wa Maombi: Tarehe 30/10/2026.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Ikiwa unakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu, tuma barua yako ya maombi pamoja na Wasifu Wako (CV) kupitia anwani ya barua pepe ifuatayo: 📧 Barua Pepe (Email): annytcltd@gmail.comAngalizo: Hakikisha unatuma maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho. Maombi yatakayowasilishwa baada ya tarehe 30 Oktoba 2026 hayatayazingatiwa.
Read also: From Graduate to Professional: Your Ultimate Guide to Landing Your Dream Job
View: Free Cover Letter Sample for Internship / Graduate Trainee Job Application