MS
Marketing & Communications

Nafasi za Kazi ( Security Guards) at MSL Security Company Limited, Dar es Salaam November 2026

MSL Security Company Limited

Tanzania · Dar es Salaam Full-time On-site
Posted: 15 hours ago
Expires: Dec 18, 2026
Salary: Not listed

Job description

🚨 NAFASI ZA KAZI YA ULINZI – MSL SECURITY LIMITED

Kampuni ya MSL Security Limited, yenye makao yake makuu Kawe, Dar es Salaam, inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika nafasi za Ulinzi (Security Guards) kwa wanawake na wanaume.

✅ SIFA ZA MWOMBAJI

  • Uraia: Awe raia wa Tanzania.
  • Elimu: Awe na elimu kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea.
  • Umri: Awe na umri kati ya miaka 23 hadi 45.
  • Afya: Awe timamu wa mwili na akili.
  • Utambulisho: Awe na kitambulisho cha NIDA au Namba ya NIDA.
  • Lugha: Awe na uwezo wa kuzungumza na kuelewa vizuri lugha ya Kiingereza.
  • Kodi: Awe na Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN Number).
  • Ziada: Uzoefu au mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni sifa ya ziada.
  • Nyaraka: Awe na barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho.

🕛 MUDA WA KAZI

  • Saa 12 kwa mfumo wa zamu (shifts).

📌 JINSI YA KUTUMA MAOMBI

Waombaji wote wenye sifa wanakaribishwa kufika moja kwa moja katika ofisi za kampuni zilizopo Kawe – Dar es Salaam, au wanaweza kutuma maombi yao kupitia barua pepe:
MSL SECURITY LIMITED “ALWAYS VIGILANT”

Requirements

Apply by email: hr@mslsecurityltd.com

Similar jobs

TT
Cluster Brand & Media Executive at TUI Tanzania
TUI Tanzania
Tanzania · Zanzibar Full-time On-site

Join TUI Hotels & Resorts as Cluster Brand & Media Executive where you will support the brand presence, media coordination, and reputation management for both the TUI BLUE...

See your job match

Sign in and add your CV/profile to see your match percentage.

Sign in to see match
Salary not listed
View details
Job alerts
Subscribe to matching jobs by country, role, and category.

Create local job alerts

Get matching jobs for your chosen country, role, and category.

See how well this job fits you

Sign in and keep your CV/profile updated to see a match percentage, matching evidence and areas to strengthen.

Sign in to add your profile