# Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) at Usangu Group , Dar es Salaam October 2026

Canonical URL: https://primejobalerts.com/jobs/msaidizi-wa-rasilimali-watu-hr-assistant-at-usangu-group-dar-es-salaam-october-2026

Company: Usangu Group , Dar es Salaam October 2026

Category: Human Resources & Recruitment

Location: Tanzania

Work type: Full-time

Work arrangement: On-site

Published: 2026-10-13

Expires: 2026-11-27

## Job Description

### Tangazo la Kazi: Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) – Usangu Group

Kampuni: Usangu Group
Msemo wa Kampuni: Possibility in all directions…!!!

Mahali: Tabata Matumbi, Dar es Salaam, Tanzania
Sekta: Usafirisha na Logistics (Transport & Logistics)
Uzoefu: Miaka 4–6 (Kipaumbele Sekta ya Usafirishaji na Logistics)

### Sifa Zinazohitajika

- 
Elimu: Shahada ya Kwanza katika Usimamizi wa Rasilimali Watu, Utawala wa Biashara au fani inayohusiana.

- 
Uzoefu: Miaka 4–6 katika kazi za HR (kipaumbele zaidi ni sekta ya usafirishaji na logistics).

- 
Sheria za Kazi: Ufahamu mzuri wa sheria za kazi Tanzania.

- 
Ujuzi wa Mawasiliano: Mawasiliano mazuri na uwezo wa kushirikiana na watu.

- 
Ujuzi wa Kompyuta: Ujuzi wa MS Office na mifumo ya HR.

### Majukumu ya Kazi

- 
Kusaidia usaili na kuingiza wafanyakazi wapya (Recruitment & Onboarding).

- 
Kutunza kumbukumbu na mafaili ya wafanyakazi.

- 
Kusaidia malipo na masuala ya kisheria.

- 
Kushughulikia mahusiano ya wafanyakazi.

### Jinsi ya Kuomba

Tuma CV yako pamoja na Barua ya Maombi kwa kutumia njia zifuatazo:

- 
📧 Barua Pepe (Email): legal@usangu.co.tz

- 
👤 Attn: ANETH CHARLES

## Requirements

Apply by email: legal@usangu.co.tz

## Apply

Use the canonical Prime Job Alerts page for full application instructions and source verification.
