Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) at Usangu Group , Dar es Salaam October 2026
Usangu Group
Job description
Tangazo la Kazi: Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) – Usangu Group
Kampuni: Usangu Group Msemo wa Kampuni: Possibility in all directions…!!! Mahali: Tabata Matumbi, Dar es Salaam, Tanzania Sekta: Usafirisha na Logistics (Transport & Logistics) Uzoefu: Miaka 4–6 (Kipaumbele Sekta ya Usafirishaji na Logistics)Sifa Zinazohitajika
- Elimu: Shahada ya Kwanza katika Usimamizi wa Rasilimali Watu, Utawala wa Biashara au fani inayohusiana.
- Uzoefu: Miaka 4–6 katika kazi za HR (kipaumbele zaidi ni sekta ya usafirishaji na logistics).
- Sheria za Kazi: Ufahamu mzuri wa sheria za kazi Tanzania.
- Ujuzi wa Mawasiliano: Mawasiliano mazuri na uwezo wa kushirikiana na watu.
- Ujuzi wa Kompyuta: Ujuzi wa MS Office na mifumo ya HR.
Majukumu ya Kazi
- Kusaidia usaili na kuingiza wafanyakazi wapya (Recruitment & Onboarding).
- Kutunza kumbukumbu na mafaili ya wafanyakazi.
- Kusaidia malipo na masuala ya kisheria.
- Kushughulikia mahusiano ya wafanyakazi.
Jinsi ya Kuomba
Tuma CV yako pamoja na Barua ya Maombi kwa kutumia njia zifuatazo:-
📧 Barua Pepe (Email):
legal@usangu.co.tz - 👤 Attn: ANETH CHARLES